Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mchango wa Umoja wa Mataifa Kurudisha Amani Kenya

Mchango wa Umoja wa Mataifa Kurudisha Amani Kenya

Hii leo tunaanza mfululizo wa vipindi maalumu, vya kila siku, vya dakika tano, kuhusu juhudi za UM kuisaidia Kenya kurudisha utulivu na amani nchini, na vile vile kuhudumia misaada ya kiutu kwa wale waathiriwa wa machafuko ya karibuni.

Sikiliza kipindi kwenye idhaa ya mtandao.