Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Usalama unaregarega kwa wahamiaji wa Chad: OCHA

Usalama unaregarega kwa wahamiaji wa Chad: OCHA

Shirika la UM juu ya Huduma za Dharura (OCHA) limeripoti licha ya kuwa hali katika eneo la Chad mashariki ni shwari kwa hivi sasa, hata hivyo usalama bado unaregarega kwa watu muhitaji 500,000 ambao hutegemea kufadhiliwa misaada ya kihali kutoka mashirika ya kimataifa.