KM ana matumaini ya kutia moyo juu ya mzozo wa Kenya
KM wa UM, Ban Ki-moon ametangaza kuwa ana matumaini ya kutia moyo kutokana na maendeleo yaliojiri karibuni kwenye zile juhudi za kuleta suluhu ya kuridhisha, juu ya mzozo wa kisiasa ulioivaa Kenya.