Vikosi vya UNMEE vinaendelea na matayarisho ya kuhama Eritrea

Vikosi vya UNMEE vinaendelea na matayarisho ya kuhama Eritrea

Yale malori manane ya Shirika la Ulinzi wa Amani Mipakani Ethiopia na Eritrea (UNMEE) yaliozuiliwa kwenye kituo cha ukaguzi na Vikosi vya Ulinzi vya Eritrea hayakufanikiwa kupakia vifaa vya uhamisho na yamerejea matupu mjini Asmara.