Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Juhudi za kuleta amani kaskazini Uganda/Mjadala wa kupanua wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama

Juhudi za kuleta amani kaskazini Uganda/Mjadala wa kupanua wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama

Baada ya karibu miongo miwili ya mateso na vita, wananchi wa kaskazini wa Uganda wameanza kupumua na kuishi maisha ya kawaida, kutokana na juhudi za kurudisha tena usalama na amani kieneo.

Waasi wa Lord Resistance Army (LRA) wakiongozwa na Joseph Kony wenye desturi ya kuwateka nayra watoto na kuwatumia kama wanajeshi au watumwa wa ngono wamekua wakijadiliana na wajumbe wa serekali juu ya uwezekano wa kuwasilisha tena amani kwenye eneo la uhasama.

Sikiliza ripoti kamili kwenye idhaa ya mtandao, itakayofuatiwa na taarifa kuhusu mjadala wa kuongeza uwanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.