Skip to main content

Akiba ya chakula kwa waathiriwa wa mafuriko Uganda inakaribia kumalizika, inaonya WFP

Akiba ya chakula kwa waathiriwa wa mafuriko Uganda inakaribia kumalizika, inaonya WFP

Shirika la UM juu ya Miradi ya Chakula Duniani (WFP) limeitahadharisha jamii ya kimataifa kuwa linakabiliwa na upungufu mkubwa wa fedha kuongoza operesheni za dharura kwenye maeneo yalioharibiwa karibuni na mafuriko nchini Uganda.