Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ripoti juu ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (Makala ya Pili)

Ripoti juu ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (Makala ya Pili)

Katika makala iliopita tulieleza kwamba ulimwengu hivi sasa unakabiliwa na tatizo la kufumka kwa maradhi ya saratani katika sehemu mbalimbali za dunia. Ugonjwa huu, tuliarifiwa, huua idadi kubwa ya watu ulimenguni kuzidi jumla ya vifo vinavyosababishwa na maradhi ya UKIMWI, kifua kikuu na malaria, vifo ambavyo hutukia kwa wingi zaidi katika nchi masikini.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Ocean Road, Dktr Twalib Ngoma anaelezea maendeleo yaliopatikana tangu mradi huu kuanzishwa katika udhibiti wa saratani nchini.

Sikiliza mahojiano kamili kwenye idhaa ya mtandao.