Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Juhudi za kupambana na VVU/UKIMWI Tanzania

Juhudi za kupambana na VVU/UKIMWI Tanzania

Mnamo mwaka 2000 jumuiya ya kimataifa ilikubaliana kuchukua hatua za pamoja ili kupunguza ufukara na umasikini duniani, angalau, kwa nusu, mwaka 2015 utakapowasili, hususan katika mataifa yanayoendelea.

Karibuni nilipata fursa ya kutembelea Tanzania na nilipokuwepo huko nilizuru Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, iliopo Dar es Salaam na nilibahatika kuwa na mazungumzo na Daktari Khamza Yusuf Maunda, Mkurugenzi anayehusika na masuala ya UKIMWI.

Sikiliza mahojiano yetu kwenye idhaa ya mtandao.