Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Fafanuzi juu ya kujitoa Serikalini Sudan kwa SPLM

Fafanuzi juu ya kujitoa Serikalini Sudan kwa SPLM

Kundi la SPLM la Sudan Kusini, liliojiunga katika miezi ya nyuma na Serikali ya Muungano ya Sudan, liliamua karibuni kujitoa kwenye ushirikiano huu,kitendo ambacho kilisababisha mzozo wa kikatiba nchini mwao. KM wa UM Ban Ki-moon aliyanasihi makundi yaliotiliana sahihi Mapatano ya Amani ya Jumla kwa Sudan Kusini (CPA) kufanya kila wawezalo kusuluhisha mzozo wao kwa njia ya majadiliano.

Sikiliza mahojiano kamili kwenye idhaa ya mtandao.