Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Teknologia ya kuwasaidia wakulima kuzalisha karanga zaidi huko Malawi / Jiko linalo punguza utumiaji makaa

Teknologia ya kuwasaidia wakulima kuzalisha karanga zaidi huko Malawi / Jiko linalo punguza utumiaji makaa

Suala la kuongezeka kwa hali ya joto duniani na kupunguka kwa misitu kwa ajili ya nishati, kilimo au mbao kimesababisha kuwepo na juhudi nyingi za kutafuta njia mbadala ili kuhifadhi mazingira.