Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mahojiano na Naibu Katibu Mkuu wa UMoja wa Mataifa, Dktr Asha-Rose Migiro

Mahojiano na Naibu Katibu Mkuu wa UMoja wa Mataifa, Dktr Asha-Rose Migiro

Hivi majuzi, wasikilizaji, tulikuwa na mazungumzo maalumu kwenye studio zetu za Redio ya UM na Naibu KM wa UM Asha-Rose Migiro.

Kwa mahojiano kamili na Naibu KM Migiro, tafadhali sikiliza idhaa ya mtandao ya Redio ya UM.