Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Baraza la Usalama kuidhinisha kikosi cha pamoja cha UM na AU huko Darfur

Baraza la Usalama kuidhinisha kikosi cha pamoja cha UM na AU huko Darfur

Baraza la Usalama kwa sauti moja liliidhinisha siku ya jumanne azimio la kupelekwa kikosi cha pamoja cha walinda amani wa UM na Jumuia ya Afrika, AU katika jimbo la Darfur huko Sudan.