Kazi za Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu UNFPA huko nchini Tanzania

3 Agosti 2007

Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu, UNFPA hufuata sera ya kushirikiana na nchi husika kupanga mahitaji muhimu ya nchi hiyo. Huko Tanzania, shirika hilo linazingatia maeneo matatu muhimu, Afya ya uzazi, Suala la Jinsia hasa kwa kuongeza uwezo wa kina mama kufanya maamuzi, na mwisho ni juu ya idadi ya watu na maendeleo.

Abdushakur Aboud amezungumza na Christhoper Mwaijonga mwakilishi mkazi msaidizi huko Tanzania na alianza kumuliza kufafanua maeneo hayo muhimu ya UNFPA.

CUTChristopher: tunalenga hasa maeneo makuu matatu na hii kuanzia mkutano …

AKHuyo alikua Christhoper Mwaijonga mwakilishi mkazi msaidizi huko Tanzania akizungumza na Redio ya UM kutoka Dar es salaam.

 

♦ Kupata takwimu za waathirika vitani Ukraine bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter