Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mjumbe maalum wa UM ajadili usalama nchini Liberia na Rais wa Benin

Mjumbe maalum wa UM ajadili usalama nchini Liberia na Rais wa Benin

Suala la usalama lilikua juu katika mazunguzmo mjini Monrovia kati ya mjumbe maalum wa katibu mkuu huko Liberia na Rais wa Benin, aliyeahidi kusaidia kudumisha utulivu katika nchi hiyo.