Siku ya Kimataifa ya Wazawa

10 Agosti 2007

Karibu wazawa milioni 370 kote duniani wanaendelea kubaguliwa, kutengwa na kuishi katika hali ya umaskini kabisa na ghasia, Katibu Mkuu wa UM bw Ban Ki-moon, alitoa mwito wa kuchukuliwa hatua za dharura kukabiliana na matatizo hayo.

Helen: Jambo la ardhi limekua ni jambo ....

AAKupitishwa maazimio ni suala moja lakini utekelezaji ni tatizo kubwa waumbe wamelalamika kama anavyoeleza Fatouma Ibrahim naibu mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadam ya Kenya.

FISasa kitu ingine ni international community lazima …..

AA: Na taarifa iliyotolewa na Kamishna mkuu wa Haki za binadam wiki hii kuadhimisha siku hiyo imetoa mwito kwa mataifa ya dunia kuidhinisha angazo la haki za wazawa na hivyo kuifanya mkataba wa kimataifa juu ya haki za wazawa.

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud