Facebook Twitter Print Email
Katibu mkuu wa UM Ban Ki-moon alitoa mwito wa kuchukuliwa hatua za kukabiliana na kubadilika kwa hali ya hewa na masuala mengine yanayo ya shughulisha jumwia ya kimataifa.