Ushirikiano wa Jumuia ya Afrika na Umoja wa Mataifa wasifiwa na Naibu katibu mkuu

9 Julai 2007

Naibu katibu mkuu wa UM, Bi Asha-Rose Migiro yuko ziarani baraani afrika na miongoni mwa mambo muhimu wakati wa ziara yake alihutubia ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa Jumuia ya afrika AU huko Accra Ghana, pamoja na kufungua mkutano wa kimataifa juu ya wanawake huko Nairobi nchini Kenya.

Naibu katibu mkuu alizungumza na Irene Mwakesi wa UM huko Nairobi ambae kwanza alimuliza juu ya ziara yake huko Afrika kwa ujumla.

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud