Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Juhudi za kuimarisha uzazi salama huko Tanzania

Juhudi za kuimarisha uzazi salama huko Tanzania

White ribbon alliance ni mungano wa kimataifa wa watu na mashirika uloundwa kuhamasisha wananchi juu ya haja ya kuwepo na afya nzuri na usalama kwa wanawake wote wajazito na wanapojifungua pamoja na watoto wanaozaliwa.

Huko Tanzania mashirika yasiyo ya kiserekali, pamoja na mashirika ya umoja wa mataifa na tasisi mbali mbali za serekali wanashirikiana chini ya mungano unafanya kazi karibu sana na mashirika ya Umoja wa Mataifa na mashirika mengine ya kimataifa kuweza kuwafikia watu katika kila pembe ya nchi hiyo. Abdushakur Aboud alizungumza na Mratibu wa white Ribbon Alliance ya Tanzania, Bi Rose Mlay na kumuliza malengo makuu yao kwa wakati huu.

CUTRose Mlay yani …….ahsante sana

TY Huyo alikua Rose Mlay mratibu wa white ribbon Alliance nchini Tanzania akizungumza na radio ya UM