Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Fafanuzi za kikao cha mwaka cha Tume ya Kudumu ya UM juu ya Haki za Wenyeji wa Asili

Fafanuzi za kikao cha mwaka cha Tume ya Kudumu ya UM juu ya Haki za Wenyeji wa Asili

Umma wa kimataifa unaotambuliwa rasmi na UM kama ni jamii ya wenyeji wa asili, karibuni walikamilisha hapa Makao Makuu kikao cha mwaka cha wiki mbili.

Fatma Ibrahim Ali, Naibu Mwenyekiti wa Tume ya Kiserekali ya Kutetea Haki za Binadamu Kenya anachambua matokeo ya warsha aliohudhuria kuzingatia haki za wenyeji wa asili duniani.

Sikiliza mahojiano kamili kwenye idhaa ya mtandao.