Sudan na UNMIS watakutana karibuni kuzingatia uboreshaji wa amani kusini

22 Juni 2007

Shirika la UM juu ya Ulinzi wa Amani Sudan (UNMIS) na Serekali ya Sudan wanatazamiwa kukutana karibuni, kwenye kikao cha hadhi ya juu, kuzingatia njia za kuboresha utekelezaji wa maafikiano ya jumla ya amani ya 2005 yaliofuzu kusitisha vita vya muda mrefu vya wenyewe kwa wenyewe kati ya sehemu za kaskazini na kusini.

Uamuzi wa kufanya mazungumzo ulifanyika baada ya mkutano wa wiki iliopita baina ya Kaimu Mwakilishi Maalumu wa KM kwa Sudan, Taye-Brook Zerihoun Ya kutana tena ulifanyika limeripoti ya kuwa linatarajia kufanyisha mazungumzo ya hadhi ya juu kati ya Serekali ya Sudan na UNMIS, kuzingatia taratibu za kuboresha . Maafikiano haya yalitumiwa kuwa mwongozo wa kusitisha mapigano kati ya maeneo ya kaskazini na kusini.

 

♦ Kupata takwimu za waathirika vitani Ukraine bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter