Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tume ya Kudumu ya Haki za Wenyeji as Asili inakutana Makao Makuu

Tume ya Kudumu ya Haki za Wenyeji as Asili inakutana Makao Makuu

Wawakilishi zaidi ya 1,000 walio wenyeji wa asili, kutoka sehemu kanda mbalimbali za dunia, walikusanyika kuanzia mwanzo wa juma, katika Makao Makuu ya UM mjini New York, kuhudhuria kikao cha wiki mbili cha Tume ya Kudumu ya UM juu ya Haki za Wenyeji wa Asili.

Catherine Mututua kutoka Kenya, akiwakilisha kundi la shirika lisio la kiserekali la NAMAYANA, alikuwa miongoni mwa wajumbe wa Afrika Mashariki walioshiriki kwenye kikao cha mwaka huu cha Tume ya UM juu ya Haki za Watu wa Asili.

Sikiliza kwenye idhaa ya mtandao mahojiano kati ya Catherine na mtayarishaji vipindi wa Redio ya UM.