Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tunzo ya Mradi wa Ikweta Kuheshimu Viumbe Anuwai

Tunzo ya Mradi wa Ikweta Kuheshimu Viumbe Anuwai

Tarehe 22 Mei iliadhimishwa kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Kuheshimu Viumbe Hai Anuwai. Katika siku hiyo Shirika la UM juu ya Miradi ya Maendeleo (UNDP) pia lilitangaza majina ya washindi wa zawadi ijulikanayo kama Tunzo ya Mradi wa Ikweta.

Sikiliza mazungumzo kwenye idhaa ya mtandao.