Usomali inahitajia hali ya utulivu kurudisha usalama: UM

Usomali inahitajia hali ya utulivu kurudisha usalama: UM

Mapema wiki hii Baraza la Usalama lilikutana kwenye kikao maalumu cha faragha kuzingatia suala la Usomali.

Kwa ripoti kanmili, pamoja na mazungumzo ya Fall na Redio ya Umoja wa Mataifa juu ya Usomali, sikiliza idhaa ya mtandao.