Skip to main content

Mwaka 2006 ulihanikiza joto la kihistoria

Mwaka 2006 ulihanikiza joto la kihistoria

Shirika la UM juu ya Utabiri wa Hali ya Hewa Duniani, (WMO), limethibitisha kwenye ripoti ya karibuni kwamba hali ya joto kwa mwaka 2006 ilifurutu ada, na ilikiuka kipimo cha wastani cha halijoto katika mazingira ya kimataifa.

Kwa ripoti kamili ya fafanuzi za Shirika la WMO juu ya athari za mwamko mkali wa halijoto ulimwenguni katika mwaka 2006, sikiliza idhaa ya mtandao ya Redio ya UM.