Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakazi 40,000 wahajiri makazi Mogadishu katika Februari

Wakazi 40,000 wahajiri makazi Mogadishu katika Februari

Shirika la UM juu ya Miradi ya Chakula Duniani (WFP) limeripoti ya kwamba raia Wasomali 40,000 walisajiliwa kuhajiri mji mkuu wa Mogadishu mnamo mwezi uliopita baada ya haliya usalama kuharibika na kuongeza wasiwasi wa maisha.