Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kutoelewana kati ya Sudan na UM kunazorotisha juhudi za kutuma majeshi ya mseto Darfur

Kutoelewana kati ya Sudan na UM kunazorotisha juhudi za kutuma majeshi ya mseto Darfur

Jean-Marie Guehenno, Naibu KM anayeongoza Idara ya Opereshani za Amani za UM (DPKO) alikuwa na majadiliano ya faragha wiki hii, na Baraza la Usalama kuhusu jawabu ya Raisi Omar Hassan Al Bashir, ya barua aliyotumiwa na KM Ban Ki-moon juu ya huduma za ulinzi wa amani za vikosi vya AU katika Darfur.