Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Umoja wa Mataifa waadhimisha Siku ya Maji Safi Duniani

Umoja wa Mataifa waadhimisha Siku ya Maji Safi Duniani

Kwa mujibu wa takwimu za UM, watu milioni 700 ulimwenguni huateswa kimaisha, kila kukicha, na tatizo la kuadimika kwa maji safi katika maeneo wanamoishi. Idadi hii inakhofiwa huenda ikaongezeka katika 2025 na kukiuka watu waathiriwa bilioni 3.

Kwa hivyo, jumuiya ya kimataifa inajaribu kuchangisha miradi aina kwa aina ya kuimarisha ushirikiano wa pamoja, utakaosaidia kuleta usimamizi bora wa huduma za maji safi, kwa natija za umma duniani.

Kwa maelezo kamili sikiliza idhaa ya mtandao.