Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM umeanzisha huduma za kuwasaidia waathiriwa wa mafuriko katika Msumbiji

UM umeanzisha huduma za kuwasaidia waathiriwa wa mafuriko katika Msumbiji

Mnamo mwanzo wa wiki UM ulianzisha operesheni maalumu za dharura za kugawa chakula na kuokoa wale raia walionaswa baada ya mvua kali kunyesha na kuzusha mafuriko mabaya ya kihistoria katika Msumbiji, hasa katika eneo ya kati. Hali hiyo iliwalazimisha watu 85,000 kuhajiri makazi yao.

Sikiliza mahojiano kamili kwenye idhaa ya mtandao.