Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mjumbe wa UM juu ya Haki za Watoto Walionaswa kwenye Uhasama kuzuru Sudan

Mjumbe wa UM juu ya Haki za Watoto Walionaswa kwenye Uhasama kuzuru Sudan

Mjumbe Maalumu wa UM juu ya Hifadhi ya Watoto kwenye Mazingira ya Uhasama na Vita, Radhika Coomaraswamy anatazamiwa kuzuru Sudan mwisho wa wiki kwa kuitikia mwaliko wa Serekali ya Sudan.