Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Bodi la Utendaji la WHO lakutana Geneva kwenye kikao cha mwaka

Bodi la Utendaji la WHO lakutana Geneva kwenye kikao cha mwaka

Bodi la Utendaji la Shirika la Afya Duniani (WHO), ambalo hukutana mara mbili kwa mwaka, Ijumatatu lilianza mjini Geneva kikao cha awali kwa 2007. Katika hotuba ya ufunguzi, Mkurugenzi Mpya wa WHO, Dktr Margaret Chan alizungumzia mafanikio yaliojiri karibuni katika kuboresha afya ya jamii.

Sikiliza taarifa zaidi kwenye idhaa ya mtandao.