Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Juhudi za kimataifa katika kupambana na janga la malaria

Juhudi za kimataifa katika kupambana na janga la malaria

Maradhi ya malaria husababishwa na vijidudu vinavyochukuliwa na aina ya mbu baada ya kumtafuna mtu mgonjwa na kuyaeneza kwa mwengine. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), maradhi haya yanaweza kutibika na yanazuilika.

Sikiliza ripoti kamili kwenye mtandao, pamoja na mahojiano na Dktr Alex Mwita, Mkurugenzi wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria katika Tanzania.