Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM waanzisha Waqf mpya wa kudumisha amani

UM waanzisha Waqf mpya wa kudumisha amani

UM umeanzisha Mfuko wa Fedha za Kudumisha Amani, waqf ambao umekusudiwa kuzisaidia nchi zinazofufuka kutoka mazingira ya uhasama, fujo, vurugu na vita kufadhiliwa fedha na ujuzi wa kukidhia mahitaji yao ya dharura, hususan katika kipindi ambapo hujikuta zimekabwa kihali na mali kutokana na upungufu wa fedha na ukosefu mkubwa wa zana kufufua ujenzi wa taasisi za taifa zilizoharibiwa na mapigano.~

Sikiliza taarifa kamili kwenye idhaa ya mtandao.