Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Dhamana ya wachoraji wa makatuni kuimarisha tabia ya kuvumiliana miongoni ya tamaduni tofauti

Dhamana ya wachoraji wa makatuni kuimarisha tabia ya kuvumiliana miongoni ya tamaduni tofauti

Majuzi UM ulikamilisha semina ya tano iliyozingatia suala la kustahamiliana kitamaduni, ambayo iliandaliwa na Idara ya Habari (DPI) kwa ushirikiano na Chuo Kikuu cha Emory katika Marekani.

Sikiliza mahojiano ya "GADO" na Redio ya UM kuhusu matumizi ya makatuni kumkomesha farakano za kitamaduni.