Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Baraza la Usalama kuongeza muda wa operesheni za amani katika Sahara ya Magharibi

Baraza la Usalama kuongeza muda wa operesheni za amani katika Sahara ya Magharibi

Wiki hii Baraza la Usalama limepitisha, kwa kauli moja, azimio la kuongeza kwa miezi sita zaidi opereshani za UM za juu ya ulinzi wa amani katika Sahara ya Magharibi zinazoongozwa na Shirika la MINURSO. Operesheni hizi zinatarjiwa kuendelea hadi mwezi Aprili 2007.