Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM waomba msaada wa dharura kunusuru maisha ya wahamiaji wa Usomali katika Kenya

UM waomba msaada wa dharura kunusuru maisha ya wahamiaji wa Usomali katika Kenya

UM umetoa ombi la dharura uitakayo jamii ya kimataifa kufadhilia dola milioni 35 ili kukidhia mahitaji ya kihali kwa wahamiaji 35,000 wa Usomali waliopo Kenya hivi sasa ambao asilimia kubwa yao ni wafugaji walioathirika na hali ya uhasama uliozuka makwao ikichanganyika na ukame.