Skip to main content

Jukumu la wachoraji makatuni kustawisha amani duniani

Jukumu la wachoraji makatuni kustawisha amani duniani

Mapema wiki hii Idara ya Habari ya UM iliandaa semina maalumu iliyohudhuriwa na wachoraji makatuni mashuhuri wa kimataifa ambao walibadilishana mawazo juu ya taratibu zifaazo kutumiwa kwenye usanii wao zitakazosaidia kusukuma mbele amani na, hatimaye, kukomesha ile tabia ya kutovumiliana kati ya raia wa tamaduni tofauti. ~

Sikiliza mahojiano kati ya Redio ya UM na GADO juu ya juhudi za "kujenga tabia ya kuvumiliana" miongoni ya jamii mbalimbali "kuvumiliana."