Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kuondoshwa kwa vizuizi vya Israel dhidi ya Lebanon unapongezwa na KM

Kuondoshwa kwa vizuizi vya Israel dhidi ya Lebanon unapongezwa na KM

Katibu Mkuu (KM) wa Umoja wa Mataifa, Bw. Kofi Annan amepongeza kuondolewa vizuizi vya Israel dhidi ya Lebanon na kusema kitendo hicho ni ushindi kwa juhudi za amani za jumuiya ya kimataifa.