Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Usalimishaji wa silaha katika DRC unaendelea kwa amani

Usalimishaji wa silaha katika DRC unaendelea kwa amani

Shirika la UM juu ya Ulinzi wa Amani katika JKK (MONUC) limeripoti ya kuwa wanamgambo 34 waliopo kwenye wilaya ya Ituri, kaskazini-mashariki ya JKK walisalimisha, kwa hiyari, silaha zao kwa vikosi vya kimataifa mnamo wiki iliopita.