Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNHCR kurejesha makwao wakimbizi wa Sudan waliopo DRC

UNHCR kurejesha makwao wakimbizi wa Sudan waliopo DRC

Ofisi ya Shirika la UM juu ya Huduma za Wahamiaji wa Dharura (UNHCR) imetangaza kuanzisha, wiki hii, misafara ya kuwarejesha makwao wakimbizi 400 wa Sudan ya Kusini ambao hivi sasa wanaishi katika eneo la kaskazini-mashariki ya JKK.