Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mapitito ya Mkataba wa kulinda haki za walemavu

Mapitito ya Mkataba wa kulinda haki za walemavu

Wajumbe kutoka karibu mataifa 100 walikusanyika kwenye Makao Makuu ya UM mjini New York, mwishoni mwa mwezi Agosti na kupitisha azimio muhimu la karne la kuridhia Mkataba wa UM juu ya Haki za Watu Walemavu.~