Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Juhudi za upatanishi juu ya mgogoro wa Uganda ya kaskazini

Juhudi za upatanishi juu ya mgogoro wa Uganda ya kaskazini

Serekali ya Sudan karibuni ilijihusisha kwenye mazungumzo ya hali ya juu, yaliyoandaliwa katika mji wa Juba, kwa madhumuni ya kujaribu kuukomesha ule uhasama ulioselelea katika kipindi cha karibu miongo miwili huko Uganda ya kaskazini, kati ya vikosi vya Serekali na wafuasi wa lile kundi la waasi la Lord\'s Resiastance Army (LRA).

Kwa taarifa kamili juu ya ripoti sikiliza idhaa ya mtandao.