Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Matumaini ya kupitishwa azimio na Baraza la Usalama juu ya Lebanon na Israel

Matumaini ya kupitishwa azimio na Baraza la Usalama juu ya Lebanon na Israel

TMY:Kama tulivyo kuelezeni hapo awali katika ripoti zetu za leo tuna anza na hali ya huko Lebanon.

Mahojiano: Manongi

TMY: Huyo alikua naibu balozi wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Bw. Tuvako Manongi akizungumza na Redio ya Umoja wa Mataifa.