Mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya UKIMWI

25 Agosti 2006

Mkutano mkuu wa 16 juu ya UKIMWI ulimalizika wiki iliyopita huko Toronto mji mkuu wa Canada na mwito kutolewa juu ya kuimarisha matibabu na kuhamasisha watu juu ya hatari ya janga hilo.

Kangethe:

AA:Suala la wanawake lilikua na umuhimu mkubwa kwenye mkutano wa Toronto na Diwani Alice Kiongo kutoka Kenya ansema inabidi wanawake wajitete zaidi kuweza kupata haki zao.

Alice:

AA: Mkutano ujao wa 17 juu ya HIV na Ukimwi utafanyika huko Mexico City mwaka 2008 na wajumbe wameombwa wasilale bali kuzihimiza serekali zao kutekeleza mabadiliko yanayohitajika kuweza kuudhibiti ugonjwa huo wa hatari.

 

♦ Kupata takwimu za waathirika vitani Ukraine bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter