7 Julai 2006
Alkhamisi Baraza jipya la UM juu ya Haki za Kiutu limepitisha azimio la “kumpeleka haraka” Mkariri Maalumu wa haki za binadamu, John Dugard, katika yale maeneo yaliokaliwa kimabavu ya Wafalastina.