Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO inaashiria mfumko wa homa ya ndege siku za usoni.

WHO inaashiria mfumko wa homa ya ndege siku za usoni.

Uchambuzi wa utafiti wa Shirika la Afya Duniani (WHO) umethibitisha kuwepo hatari kuu ya kufumka maambukizo ya virusi vya vya H5N1 miongoni ya wanadamu vitakavyozushwa na ndege na kuku wa mifugo.