Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Shirika la WFP lahitaji kufadhiliwa haraka msaada wa kihali kwa Angola.

Shirika la WFP lahitaji kufadhiliwa haraka msaada wa kihali kwa Angola.

Shirika la UM juu ya Miradi ya Chakula Duniani (WFP) limetoa mwito unaotaka lifadhiliwe haraka msaada wa dola milioni 12.6 ili kunusuru maisha ya raia muhitaji 700,000 wa Angola – wingi wao wakiwa watoto wadogo na wahamiaji waliofanikiwa kurejea makwao hivi karibuni.