21 Julai 2006
Mwakilishi Maalumu wa KM kwa Usomali, Francois Lonseney Fall amewanasihi viongozi wa Serikali ya mpito ya Usomali(TFG) pamoja na wale wanaowakilisha Baraza Kuu la Mahkama za Kiislamu kuheshimu maafikiano ya kusitisha mapigano,