Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNESCO yashtumu mauaji ya mwandishi habari mzalendo katika JKK.

UNESCO yashtumu mauaji ya mwandishi habari mzalendo katika JKK.

Koichiro Matsuura, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la UM juu ya Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ameshtumu vikali mauaji yaliyofanyika mwanzo wa mwezi ya mwandishi habari wa JKK (Congo-DRC), Bapua Mwamba.