Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Afisa wa Shirika la MONUC anabashiria uchaguzi utakuwa shwari katika JKK.

Afisa wa Shirika la MONUC anabashiria uchaguzi utakuwa shwari katika JKK.

Peter Swarbrick, Afisa wa Shirika la MONUC anayehusika na mipango ya kupokonya silaha kwa waliokuwa wapiganaji katika JKK ameripoti ya kwamba wale wapiganaji wa kigeni wanaokadiriwa 8,000 ambao walisalia nchini baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe kumalizika,