Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkutano dhidi ya biashara haramu ya silaha ndogo ndogo duniani

Mkutano dhidi ya biashara haramu ya silaha ndogo ndogo duniani

Suala la kuenea duniani kwa silaha ndogo ndogo na silaha nyepesi pamoja na matumizi haramu ya silaha hizi ni moja ya tatizo kubwa lenye kuhatarisha sana usalama na amani ya ulimwengu wetu katika karne ya ishirini na moja.

Kwa ripoti kamili sikiliza taarifa kutoka mtandao.